Balotelli adai kiss la shavuni kutoka kwa Malkia wa Uingerezi kama akiisaidia Italy kuifunga Costa Rica
Baada ya England kutandikwa mabao 2 - 1 na Uruguay, Tim hiyo inaitegemea
Italy kuifunga Costa Rica katika mechi ya leo ili wajinasue kwenye siti
ya basi la kombe la dunia waliokaa mwisho kabisa
Kutokana na timu hiyo kuiombea Italy kushinda ili waendelee kubaki
kwenye mashindano ya kombe la dunia, Balotelli ametoa mpya baadaya kudai
kiss la shavuni kutoka kwa Malkia wa Uingereza kama ataisaidia Italy
kuifunga Costa Rica.
Hiki ndicho alichoki-tweet Baloteli.
"If we beat Costa Rica I want a kiss, obviously on the cheek, from the Uk Queen"
No comments:
Post a Comment